Alikiba awajibu Wasafi

Ni kuhusu Wasafi Festival

Makonda acharuka na ishu ya Mashoga Dar

Baada ya Mawaziri kuingilia kati

Monday, November 19, 2018

Eric Omondi anakuambia alianza kuchekesha akiwa na miaka mitano

0 comments
 


Mchekeshaji Eric Omondi kutokea nchini Kenya amefunguka mengi kuhusiana na tasnia ya uchekeshaji hasahasa watu wanapotambua kuwa mtu ni mchekeshaji na kusema kuwa endapo mtu akifahamu hivyo anategemea kupata vitu vya kuchekesha kutoka kwako.
Eric Omondi  ambaye ni mshindi wa tuzo ya mchekeshaji bora Afrika 2018 ameyaongea hayo katika radio ya Virgin Dubai kwenye kipindi cha ‘This is the Kris Fade Show’ alipokuwa Dubai kwenye sherehe za Global Comedy Festival zilizofanyika usiku wa November 15,2018 na kusema kuwa alianza uchekeshaji akiwa na umri wa miaka mitano.
“Nilienda Marekani pale Times Square na nikavaa kama mganga wa kienyeji huku nikiwa nimebeba mboga mboga tu kama kabichi wazungu walikuwa wakinishangaa na nilikuwa nikizungumza kiswahili na nikawaambia hii ni dawa ya asili na inatibu magonjwa yote na ina gharimu elfu 40 na biashara hapohapo ikakua”
“Show kubwa ambayo niliwahi kufanya ni pale Kitale Kenya na kujaza watu elfu 44, nilianza kazi hii ya uchekeshaji nikiwa na miaka mitano nilikuwa mtundu sana sikutaka kuona mtu hana furaha nilijaribu kila njia kuona mtu ana furaha” >>>Eric Omondi

Continue Reading...

Sunday, November 18, 2018

VideoMPYA: Ladies & Gents Hamisa Mobetto katuletea ‘Tunaendana’

0 comments

Baada ya Mwanamitindo Hamisa Mobetto kuachia ngoma yake ya kwanza Madam Hero anakuletea hii nyingine kutokea nchini Marekani akiwa na Mmarekani wake anakuambia ‘Tunaendana’.

Continue Reading...

Saturday, November 10, 2018

Simba SC wapangwa na Waswaziland, Mtibwa watupwa Seychelles

0 comments


hirikisho la soka Afrika CAF leo limepanga ratiba ya michezo ya kwanza ya michuano ya CAF Champions League na michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, ambapo Tanzania tunawakilishwa na Simba na Mtibwa Sugar.
Simba itaiwakilisha Tanzania katika michuano ya CAF Champions League baada ya kuwa Mabingwa wa Tanzania msimu uliopita, wakati Mtibwa Sugar wao wataiwakilisha Tanzania katika michuano ya Kombe la Shikisho Afrika baada ya kutwaa Kombe la FA msimu uliopita.
Baada ya ratiba kupangwa Simba wamepangwa kucheza mchezo wa kwanza nyumbani kati ya November 27-28 2018 dhidi ya Mbabane Swallows ya Swaziland na marudiano December 4-5 2018, Mtibwa Sugar wao wamepangwa na Northern Dynamo ya Seychelles na marudiano December 4 au 5 2018.
Hakuna anayemkuta Samatta kwa sasa Jupiter Pro League 2018/19
Continue Reading...

Friday, November 9, 2018

Kauli ya Waziri Lugola baada ya kuambiwa Serikali ina-Support ushoga

0 comments


Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugola alilazimika kusimama bungeni Dodoma kutolea ufafanuzi wa Serikali kuhusu madai aliyoyatoa Mbunge wa Konde Khatib Hajikwamba Serikali inaingia kwenye mtego wa kujihusisha na matukio ya ushoga ikiwemo ndoa za aina moja.
“Viungo ambavyo mashoga wanavitumia vina kazi maalum kwa mujibu wa uumbaji wa Mungu, Serikali yetu kamwe haitaruhusu mwanadamu yeyote kubadili matumizi ya kiungo ambacho kimekusudiwa kwa ajili ya kutolea haja kitumike katika matumizi mengine ambayo Mungu hakukusudia”  -Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola
Continue Reading...

VIDEO: Jamaa aliyechungulia fursa FIESTA ARUSHA awatengenezea mastaa culture

0 comments


Wakati wakazi wa Arusha wakiwa wanasubiria msimu wa Fiesta 2018 utakao fanyika jumamosi hii baadhi yao wameamua kutumia fursa mbalimbali zinazo kujaga na msimu huo ambapo moja ya mkazi wa Arusha anayeitwa Stanley ameamua kutengeneza Culture zenye majina ya wasanii pamoja na watangazi wa Clouds media na kuziuza kwa bei ya elfu tano.
Tazama Video hapa chini kutazama jamaa wa Arusha aliyetumia fursa.
VIDEO: NOMA!! WALIVYOPOKELWA WASANII FIESTA ARUSHA


Continue Reading...

VIDEO: Machalii wa Chuga wa ‘Unateseka’ watambulisha misemo mipya

0 comments


Machalii wa Chuga waliotrend kwenye mitandao hasa kwenye mashindano ya Bongo star Search Arusha mwaka 2018 wakiwa na msemo wa “UNATESEKA”wameingia kwenye headline tena baada yakutambulisha misemo mipya miwili

Continue Reading...

LIVE MAGAZETI: Mama wa Amber Rutty afariki, Haturuhusu ushoga, Kabudi amgomea Zitto

0 comments



Karibu AyoTV, kila alfajiri unasomewa habari kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania ambapo cha kufanya ni kubonyeza ‘SUBSCRIBE‘ ili uwe unapata notification kila habari mpya inapowekwa.
Bonyeza hapa chini kusomewa Magazeti ya leo November 10 2018 na Pascal Mwakyoma

SERIKALI YAWAPA SIKU NNE WANUNUZI WA KOROSHO “LA SIVYO”

Continue Reading...
 

Millardayo Copyright © 2018 ·